Yule jamaa mmoja ataanzisha uzi wa kutaka watu wampigie kura malinzi akiwa rumande maana wengine sawa na akina mugabe aliyesema raia wake wampigie kura hata kama akifakwahiyo ile vetting ya wagombea wa TFF naona mtu mzima Malinzi ataikosa....
Ama kweli dunia tambala bovu
Tulisema malinzi hafai akitoka aende kuongoza chama cha mpira wa miguu kagera huku hatuwezi kumsubiria tutamweka mwinginejerrytz hadi Jamal Malinzi hii misukosuko ipite, atakuta ofisi ina rais mpya, na hivyo ataenda ofisini kuchukua flash disk yake na picha yake ya ukutani!
Wapigaji sana hawa jamaa soka la bongo linazidi kudorora Japo watu wanamapenzi na mpira
Umenichekesha Fala wewe,,,, Naona mkuu mna chuki baada sisi kumchukua niyonzimaMpaka watoke rumande watakuta Mo kasajili wahindi timu nzima
Ratiba ya kupeleka chakula rumande
30/6/17
Simba Damu Fans
1/7/17
Simba Platnum Supporters
2/7/17
Mpira Pesa
3/7/17
Wekundu ws Terminal
4/7/17
Simba Makini
5/7/17
Simba dume Temboni
6/7/17
Mpira maendeleo
7/7/17
Manara vuvuzela
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mmeshakubali kua FIFA mlidanganywa?Mo chukua tim Baba sie washabiki tunataka raha tumechoka kukosa kombe kwa muda mrefu na mtani kutawala.
Teh teh hivi Hanspope si ndiye aliyemwambia bwana mkubwa haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa?...Siku hizi ni Mwendo wa Kesi za Kutakatisha Fedha, tukikutafuta Hata Kama Si Mtumishi wa Umma tunakunasa kwny Kamba hiyo ya 'kutakatisha fedha'
Makofia Hans Pope naona Vima yanagonga kwny Pichu Muda huu.
Hataki hata Mtoto alive Nyumbani anahisi atamstua JPM
Daaa maisha ya ajabu sana! Mijamaa ya mchangani ilimcheka na kumkebehi sana Manji! Sasa kibao kimegeuka na bado Makofia nae
Teh teh hivi Hanspope si ndiye aliyemwambia bwana mkubwa haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa?...
Bwana mkubwa atakuwa anamlia timing hiyo Kobisi atakayo mpiga labda Nyerere afufuke ndio anaweza kulitoa.
Pope namba nyingine hiyo.Kama alichomoka ya " uhaini" iwe hii yenye ushahidi wa kuunga unga!Teh teh hivi Hanspope si ndiye aliyemwambia bwana mkubwa haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa?...
Bwana mkubwa atakuwa anamlia timing hiyo Kobisi atakayo mpiga labda Nyerere afufuke ndio anaweza kulitoa.
Pope namba nyingine hiyo.Kama alichomoka ya " uhaini" iwe hii yenye ushahidi wa kuunga unga!
Teh teh vita na hii mutu ya Rwanda haita muacha Hans salama....Tena akajitokeza hadharani Mlimani
City kumchangia Mtu fulani kwny Mbio za Urais!
Jk alikuwa anapotezea na wala alikuwa Hana Muda wa kufuatilia mambo yako ya Kiuchumi hata uwe adui yako kwny Siasa lakin Huyu Mlowezi wa Kihutu nchin Tanzania ni Bampa to Bampa!
Hahaha haya yangu machoPope namba nyingine hiyo.Kama alichomoka ya " uhaini" iwe hii yenye ushahidi wa kuunga unga!
Hahahaha @YangaAfrica Oyee, duh! Hiyo ya wachezaji wa kihindi imeniacha hoi kabisa! 🙂😉 Hahahahah...Mpaka watoke rumande watakuta Mo kasajili wahindi timu nzima