Aveva, kaburu kukaa rumande mpaka July 13

Aveva, kaburu kukaa rumande mpaka July 13

mpatto hiyo pole unanipa ili iweje, kwani umesikia Simba SC ina maafa?

Twamo suala la Aveva & Kaburu lilianza muda mrefu kabla hata Manji hajakumbwa na misukosuko.

Uongozi ulishamshinda Aveva kwani alikuwa ameifanya timu kama sehemu ya miradi yake, kama ilivyo kwa Jamal Malinzi alivyokuwa ameifanya TFF kuwa kitega uchumi chake.
 
kwahiyo ile vetting ya wagombea wa TFF naona mtu mzima Malinzi ataikosa....

Ama kweli dunia tambala bovu
Yule jamaa mmoja ataanzisha uzi wa kutaka watu wampigie kura malinzi akiwa rumande maana wengine sawa na akina mugabe aliyesema raia wake wampigie kura hata kama akifa
 
Ratiba ya kupeleka chakula rumande

30/6/17
Simba Damu Fans
1/7/17
Simba Platnum Supporters
2/7/17
Mpira Pesa
3/7/17
Wekundu ws Terminal
4/7/17
Simba Makini
5/7/17
Simba dume Temboni
6/7/17
Mpira maendeleo
7/7/17
Manara vuvuzela

[emoji23][emoji23][emoji23]

Huna adabu 😀😀😀😀😀
 
Mo chukua tim Baba sie washabiki tunataka raha tumechoka kukosa kombe kwa muda mrefu na mtani kutawala.
 
Siku hizi ni Mwendo wa Kesi za Kutakatisha Fedha, tukikutafuta Hata Kama Si Mtumishi wa Umma tunakunasa kwny Kamba hiyo ya 'kutakatisha fedha'

Makofia Hans Pope naona Vima yanagonga kwny Pichu Muda huu.
Hataki hata Mtoto alie Nyumbani anahisi atamstua JPM
 
Siku hizi ni Mwendo wa Kesi za Kutakatisha Fedha, tukikutafuta Hata Kama Si Mtumishi wa Umma tunakunasa kwny Kamba hiyo ya 'kutakatisha fedha'

Makofia Hans Pope naona Vima yanagonga kwny Pichu Muda huu.
Hataki hata Mtoto alive Nyumbani anahisi atamstua JPM
Teh teh hivi Hanspope si ndiye aliyemwambia bwana mkubwa haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa?...

Bwana mkubwa atakuwa anamlia timing hiyo Kobisi atakayo mpiga labda Nyerere afufuke ndio anaweza kulitoa.
 
Daaa maisha ya ajabu sana! Mijamaa ya mchangani ilimcheka na kumkebehi sana Manji! Sasa kibao kimegeuka na bado Makofia nae

Sijawahi kuona Yanga kama timu wamemsikitikia Manji au hata kutoa kauli yoyote ya kumtetea alivyokuwa ndani. Hata Mange Kimambi aliwashinda kumtetea ,kwahiyo hao wa simba nao acha yawapate tu kama walikura hela zetu za Okwi.

Furaha yangu imetimia hapo kwa Malinzi , japo ni mwana simba bravooooo Mayaiiiiii hadi Karume
 
Teh teh hivi Hanspope si ndiye aliyemwambia bwana mkubwa haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa?...

Bwana mkubwa atakuwa anamlia timing hiyo Kobisi atakayo mpiga labda Nyerere afufuke ndio anaweza kulitoa.

Tena akajitokeza hadharani Mlimani
City kumchangia Mtu fulani kwny Mbio za Urais!

Jk alikuwa anapotezea na wala alikuwa Hana Muda wa kufuatilia mambo yako ya Kiuchumi hata uwe adui yako kwny Siasa lakin Huyu Mlowezi wa Kihutu nchin Tanzania ni Bampa to Bampa!
 
Pope namba nyingine hiyo.Kama alichomoka ya " uhaini" iwe hii yenye ushahidi wa kuunga unga!
 
Pope namba nyingine hiyo.Kama alichomoka ya " uhaini" iwe hii yenye ushahidi wa kuunga unga!

Zama zinabadilika Ndugu yangu!
Ndege Mjanja hunasa kwny Tundu bovu

Ile ya Uhaini hawakuchomoka walichomolewa kwa Msamaha wa Jumla wa Mzee Mwinyi, hata Tom Rugakingira Mwenyewe waliepanga ndio awe Rais baada ya Mapinduzi 'alisaidiwa ' kufa Uingereza baada ya Jaribio kushindwa
 
Tena akajitokeza hadharani Mlimani
City kumchangia Mtu fulani kwny Mbio za Urais!

Jk alikuwa anapotezea na wala alikuwa Hana Muda wa kufuatilia mambo yako ya Kiuchumi hata uwe adui yako kwny Siasa lakin Huyu Mlowezi wa Kihutu nchin Tanzania ni Bampa to Bampa!
Teh teh vita na hii mutu ya Rwanda haita muacha Hans salama....

Mkwere yeye alikuwa na namna yake ya kulipa visasi kama kuingia na majina yake mfukoni mtu akalambwa kichwa.

Namuonea huruma sana Hans akijaa kwenye 18 za jamaa
 
Back
Top Bottom