Aveva, kaburu kukaa rumande mpaka July 13

Mpaka wamsainishe ngoma na Niyonzima ndo watoke
 
Safi sanaaa


Mwingine ambaye inatakiwa aambatane na hao ni Ismail rage.

Hakuna namna lazima makaburi yafukuliwe tu.
 
Reactions: SDG
Hawa viongozi wangu ngoja tu waisome namba. Walifanya Club ya Simba kuwa saccos yao

1. Pesa za Okwi
2. Pesa za samata
3. Pesa za MO
4. Michango ya wanachama

Kwa hili nipo upande wa TAKUKURU
 
Duuu,lakini hadi jamaa amalize hata ngwe ya 1 shughuli "tunayo!"
So machinga,mama lishe ,mwenye nyumba,mtumishi wa umma,boda boda, mc,.....! Labda wote tuwe "jesca" sijui!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
awamu hii ya 5 hakuna aliye juu ya sheria!!

huu ni utawala wa sheria kwa vitendo sio maneno!!
 
Aisee huu sasa ni ukolofi /uchokozi. Hatuwezi kukuvumilia kwa aina hii ya uandishi wako. Kwa taarifa yako sisi tunasubili kombe letu kutoka FIFA.!!
 
Aisee yaani kweli JF raha sana. Kwa comment kama hii. Nilikuwa naangalia 'arrows in the bow string' na washikaji hapa nimecheka mpaka wamenishangaa sana.
 
Pope namba nyingine hiyo.Kama alichomoka ya " uhaini" iwe hii yenye ushahidi wa kuunga unga!
Tayari yupo kwenye mkono wa PCCB hivi sasa anaendelea kuhojiwa na kuna uwezekano akalala ndani leo.na kuunganishwa na wenzake.
Awamu hii hata ikigundulika umetumia vibaya hela ya familia yako serikali inakukamata.
 
Keshadakwa tayari angalia IG page ya Shafii dauda karipoti hii habari.
Hahaha huyo nilijua tu ni swala la muda kwa ile kauli yake kwenye mizani baada ya malori yake kuzuiliwa na aliyekuwa waziri wa barabara

Lazima Mzee wa sifa na vinyongo amdandie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…