Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,804
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka watoke rumande watakuta Mo kasajili wahindi timu nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka watoke rumande watakuta Mo kasajili wahindi timu nzima
Ndio Manara na Genge lake waongo, siku zao zinahesabika.Kwani mmeshakubali kua FIFA mlidanganywa?
Kwa hali ilivyo ni kweli mkuu naona timing za PCCB ilikuwa kali sana.jerrytz hadi Jamal Malinzi hii misukosuko ipite, atakuta ofisi ina rais mpya, na hivyo ataenda ofisini kuchukua flash disk yake na picha yake ya ukutani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka watoke rumande watakuta Mo kasajili wahindi timu nzima
Aisee huu sasa ni ukolofi /uchokozi. Hatuwezi kukuvumilia kwa aina hii ya uandishi wako. Kwa taarifa yako sisi tunasubili kombe letu kutoka FIFA.!!Ratiba ya kupeleka chakula rumande
30/6/17
Simba Damu Fans
1/7/17
Simba Platnum Supporters
2/7/17
Mpira Pesa
3/7/17
Wekundu ws Terminal
4/7/17
Simba Makini
5/7/17
Simba dume Temboni
6/7/17
Mpira maendeleo
7/7/17
Manara vuvuzela
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kila mahali yani[emoji15] [emoji15] [emoji15]Duuuuh awamu hii kila mtu anaisoma namba
Aisee yaani kweli JF raha sana. Kwa comment kama hii. Nilikuwa naangalia 'arrows in the bow string' na washikaji hapa nimecheka mpaka wamenishangaa sana.Siku hizi ni Mwendo wa Kesi za Kutakatisha Fedha, tukikutafuta Hata Kama Si Mtumishi wa Umma tunakunasa kwny Kamba hiyo ya 'kutakatisha fedha'
Makofia Hans Pope naona Vima yanagonga kwny Pichu Muda huu.
Hataki hata Mtoto alie Nyumbani anahisi atamstua JPM
Tayari yupo kwenye mkono wa PCCB hivi sasa anaendelea kuhojiwa na kuna uwezekano akalala ndani leo.na kuunganishwa na wenzake.Pope namba nyingine hiyo.Kama alichomoka ya " uhaini" iwe hii yenye ushahidi wa kuunga unga!
Keshadakwa tayari angalia IG page ya Shafii dauda karipoti hii habari.Hahaha haya yangu macho
Hahaha huyo nilijua tu ni swala la muda kwa ile kauli yake kwenye mizani baada ya malori yake kuzuiliwa na aliyekuwa waziri wa barabaraKeshadakwa tayari angalia IG page ya Shafii dauda karipoti hii habari.
Kwani MO ni kocha?Mpaka watoke rumande watakuta Mo kasajili wahindi timu nzima