Roho inauma sana .Mi shabiki wa simba niliyekata tamaa, Yanga wanatuzidi kwa fowadi tu ,simba fowadi zetu zinaruka ruka tu ,yaani kama wachezaji wa ndondo cup
Yaani wiki imeenda hovyoRoho inauma sana .
hahaha mchawi kashaanza kutafutwa. Siku ile mnacheza Taifa na Mbeya city halafu yangu siku ya pili yake Jamhuri akadraw ulikausha tu kimya.Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna
Kwa mawazo yako hayo ndo maana mpira wetu hauwezi kuendelea, vipi kama Simba angecheza jumamosi na Yanga akacheza jana na matokeo yakawa vile vile?Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna
Mpira una wadhamini ndugu, na wao wanataka coverage, usiwe na mawazo mgando kiasi icho.Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna
Hey! How are you?Simba kukosa tena ubingwa mwaka huu ni jambo ambalo sisi wanasimba hatutakubali , Hii nakujulisha mapema usije kusema tumekuvizia .
Tutakutimua bila huruma , viongozi gani mnaokosa mbinu kiasi hicho ? Hakuna ligi katika miaka mitano iliyopita iliyokuwa rahisi kwetu kama hii , sasa inashangaza sana tunafungwa na timu iliyojaa migogoro na isiyo na kocha wa uhakika kama Azam.
Ni vigumu sana kuwakamata Yanga ( wazee wa fitna ) wakishakaa kileleni , na hili wewe unalijua vizuri sana .
Safari hii tusipobeba ndoo hakutakuwa na Mswalie Mtume , ni heri muondoke wenyewe kwa hiyari yenu .
Simba haiwezi kuwa kichwa cha mwendawazimu.
Kuna ambayo ina tabia ya kuwa bingwa mara kwa mara ndio maana wengine mioyo haituliiKwani kuna timu imetangazwa kua bingwa?
Ndy maana fitna zenu..mkifika klabu bingwa mbaishia makundi tu..sababu ya fitna..kulikuwa na sababu gn..wakati simba tangia j tano wapo kagera.. Nini kilikuwa kinasubiriwa kule...mara nyingi ratiba za namna hiyo ni upangaji wa matokeo tu..ule uwanja wa kagera ulikuwa na nn hadi usichezewe j mosi..hata kama angeanza simba j mosi.. Afate yanga j pili kwnn wasicheze siku moja?ili kuepuka vyura fc kuicheza mechi ya mnyama mkali?ubingwa wa nje ya uwanja huo....mkifika na waarabu mnakula 4 GKwa mawazo yako hayo ndo maana mpira wetu hauwezi kuendelea, vipi kama Simba angecheza jumamosi na Yanga akacheza jana na matokeo yakawa vile vile?
Sio sisi ni kageraaaaa...Ndy maana fitna zenu..mkifika klabu bingwa mbaishia makundi tu..sababu ya fitna..kulikuwa na sababu gn..wakati simba tangia j tano wapo kagera.. Nini kilikuwa kinasubiriwa kule...mara nyingi ratiba za namna hiyo ni upangaji wa matokeo tu..ule uwanja wa kagera ulikuwa na nn hadi usichezewe j mosi..hata kama angeanza simba j mosi.. Afate yanga j pili kwnn wasicheze siku moja?ili kuepuka vyura fc kuicheza mechi ya mnyama mkali?ubingwa wa nje ya uwanja huo....mkifika na waarabu mnakula 4 G
Mikia mwafaaaNdy maana fitna zenu..mkifika klabu bingwa mbaishia makundi tu..sababu ya fitna..kulikuwa na sababu gn..wakati simba tangia j tano wapo kagera.. Nini kilikuwa kinasubiriwa kule...mara nyingi ratiba za namna hiyo ni upangaji wa matokeo tu..ule uwanja wa kagera ulikuwa na nn hadi usichezewe j mosi..hata kama angeanza simba j mosi.. Afate yanga j pili kwnn wasicheze siku moja?ili kuepuka vyura fc kuicheza mechi ya mnyama mkali?ubingwa wa nje ya uwanja huo....mkifika na waarabu mnakula 4 G
Mie naona Simba ndio walikuwa na advantage kwa kuwa wameshajua wenzao wamefanyaje, na wao walitakiwa wawe na motisha zaidi wa kushinda lakini ikawa kinyume chake.Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna