Aveva na kundi lako siku zenu simba zinahesabika

Mi hawa simba sijui mnyama gani huyu walivyohenyeshwa na madini arusha niliwaza je huko kaitaba wanaweza?na bado Mbao fc wabishi mikono imekomaa kwa kuranda Mbao wanawasubiri achilia mbali watoto wa yanga Toto African yaani majanga
 
Mi shabiki wa simba niliyekata tamaa, Yanga wanatuzidi kwa fowadi tu ,simba fowadi zetu zinaruka ruka tu ,yaani kama wachezaji wa ndondo cup
 
Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna
 
Ft Kagera 2 Simba 1 ukinisaidia kushare sio mbaya.

wenye uwezo huo ni Yanga tu Muulize Nchunga,Japo siku hizi hatuna shida na mutu
 
Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna
hahaha mchawi kashaanza kutafutwa. Siku ile mnacheza Taifa na Mbeya city halafu yangu siku ya pili yake Jamhuri akadraw ulikausha tu kimya.
 
Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna
Kwa mawazo yako hayo ndo maana mpira wetu hauwezi kuendelea, vipi kama Simba angecheza jumamosi na Yanga akacheza jana na matokeo yakawa vile vile?
 
Mpira una wadhamini ndugu, na wao wanataka coverage, usiwe na mawazo mgando kiasi icho.
 
Simba kukosa tena ubingwa mwaka huu ni jambo ambalo sisi wanasimba hatutakubali , Hii nakujulisha mapema usije kusema tumekuvizia .

Tutakutimua bila huruma , viongozi gani mnaokosa mbinu kiasi hicho ? Hakuna ligi katika miaka mitano iliyopita iliyokuwa rahisi kwetu kama hii , sasa inashangaza sana tunafungwa na timu iliyojaa migogoro na isiyo na kocha wa uhakika kama Azam.

Ni vigumu sana kuwakamata Yanga ( wazee wa fitna ) wakishakaa kileleni , na hili wewe unalijua vizuri sana .

Safari hii tusipobeba ndoo hakutakuwa na Mswalie Mtume , ni heri muondoke wenyewe kwa hiyari yenu .

Simba haiwezi kuwa kichwa cha mwendawazimu.
Hey! How are you?

Wahaya sio watu wa mchezo mchezo. Kuogeshwa mto Katerelo ndio mmeamkwa jazba namna hii? Tunamsaidia Haji Manara aliyeahidi kuoa wakati fedha ya mahari hana
 
Kwa mawazo yako hayo ndo maana mpira wetu hauwezi kuendelea, vipi kama Simba angecheza jumamosi na Yanga akacheza jana na matokeo yakawa vile vile?
Ndy maana fitna zenu..mkifika klabu bingwa mbaishia makundi tu..sababu ya fitna..kulikuwa na sababu gn..wakati simba tangia j tano wapo kagera.. Nini kilikuwa kinasubiriwa kule...mara nyingi ratiba za namna hiyo ni upangaji wa matokeo tu..ule uwanja wa kagera ulikuwa na nn hadi usichezewe j mosi..hata kama angeanza simba j mosi.. Afate yanga j pili kwnn wasicheze siku moja?ili kuepuka vyura fc kuicheza mechi ya mnyama mkali?ubingwa wa nje ya uwanja huo....mkifika na waarabu mnakula 4 G
 
Sio sisi ni kageraaaaa...
 
Yamekuwa hayo tena? Ligi haijaisha, bingwa hajapatikana bado. Mnaanza kuweweseka hivi. Mjiandae hivihivi kisaikolojia maana mwafwaaa. Huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Ndy maana fitna zenu..mkifika klabu bingwa mbaishia makundi tu..sababu ya fitna..kulikuwa na sababu gn..wakati simba tangia j tano wapo kagera.. Nini kilikuwa kinasubiriwa kule...mara nyingi ratiba za namna hiyo ni upangaji wa matokeo tu..ule uwanja wa kagera ulikuwa na nn hadi usichezewe j mosi..hata kama angeanza simba j mosi.. Afate yanga j pili kwnn wasicheze siku moja?ili kuepuka vyura fc kuicheza mechi ya mnyama mkali?ubingwa wa nje ya uwanja huo....mkifika na waarabu mnakula 4 G
Mikia mwafaaa
 
Hivi kulikuwa na ulazima gani yanga icheze jana taifa..na simba acheze leo kagera?hyo ratiba ililenga nn kama sio fitna...kwann wasicheze siku moja..ndy maana akina aveva lazima waondoke..hawajuwi fitna
Mie naona Simba ndio walikuwa na advantage kwa kuwa wameshajua wenzao wamefanyaje, na wao walitakiwa wawe na motisha zaidi wa kushinda lakini ikawa kinyume chake.
Simba hawajaonesha charaters za bingwa, wanapoteza points ambazo ni unnecessary kabisa.
 
Back
Top Bottom