kwa hiyo yanga Ni hatari wanacheza mechi za simba,du kagera Ni bora kuliko simba?Ndy maana fitna zenu..mkifika klabu bingwa mbaishia makundi tu..sababu ya fitna..kulikuwa na sababu gn..wakati simba tangia j tano wapo kagera.. Nini kilikuwa kinasubiriwa kule...mara nyingi ratiba za namna hiyo ni upangaji wa matokeo tu..ule uwanja wa kagera ulikuwa na nn hadi usichezewe j mosi..hata kama angeanza simba j mosi.. Afate yanga j pili kwnn wasicheze siku moja?ili kuepuka vyura fc kuicheza mechi ya mnyama mkali?ubingwa wa nje ya uwanja huo....mkifika na waarabu mnakula 4 G
Ndio vile tu lugha za kuudhi haziruhusiwi humu ndani ila alikuwa anastahili kabisa kuitwa kiazi huyo jamaa.Kwa mawazo yako hayo ndo maana mpira wetu hauwezi kuendelea, vipi kama Simba angecheza jumamosi na Yanga akacheza jana na matokeo yakawa vile vile?
Yaani kufungwa wafungwe na kagera lawama wapewe Yanga.Yamekuwa hayo tena? Ligi haijaisha, bingwa hajapatikana bado. Mnaanza kuweweseka hivi. Mjiandae hivihivi kisaikolojia maana mwafwaaa. Huu mchezo hauhitaji hasira.
Anashindwa kujua kwamba ligi ina wadhamini, halafu wanataka kujitangaza; na mechi za kujitangaza ni mbili tu kila wiki. Hapo nahisi ashapata mantiki ya kuzitofautisha hizi mechi za wakongwe wawili.Ndio vile tu lugha za kuudhi haziruhusiwi humu ndani ila alikuwa anastahili kabisa kuitwa kiazi huyo jamaa.
Naanzisha rasmi mipango ya kumuondoa kwa bakora , Kuanzia muda huu asikanyage Msimbazi .Aveva hana jipya kila mwaka sound tu!sasa aje na sound nyingine kwanini waachie ubingwa kizembe kila mwaka.