mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Hivi umeshawahi kuuguza mgonjwa?ambaye amezidiwa sana? Na ndugu wote wakahamia nyumbani kwake?wakawa wanasubiri muda na saa ili aage dunia?sasa huyo mgonjwa atapona vipi?ni LAZIMA AFE TU..ili ndugu waendelee na shughuli zingine...KUNA WANAOOMBA APONE..NA KUNA WANAOOMBA BORA AFE WAFANYE SHUGHULI ZINGINE... Ni sawa na SIMBA NA KAGERA..baada ya YANGA KUJUA MATOKEO YAO...wakahamia KAGERA ILI KUSHUGHULIKA NA SIMBA..simba ilikiwa ni lazima AFE...sababu waliopanga hiyo RATIBA WALILIJUWA HILO..kwamba SIMBA LAZIMA AFE..ili VYURA FC waongoze..