Aveva nani aneyeingiza mikataba tms

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
unapozungumzia tms anayeingiza kwenye huo mtandao ni nyinyi viongozi na wala sio singano.
unapozungumzia mkataba ambao upo kwenye tms haina tofauti na mkataba mliokuwa nao wa kudai miaka 3.
sasa singano anao mkataba wa miaka 2 je huo mkataba wa mesi mnakataa saini ya viongozi na mihuri ya club?
mm nilifikiri mngepereka kwenye mahakama ya tff kwa kushindwa huko mkataba wenu wa miaka 3 feki.
 

nikiangalia headline yako na content yako nzima hainipi sana shida kujua wewe ni mtu wa aina gani kiakili na kiupeo. pole sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…