Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Betting sio Biashara kwa punter (mchezaji) ni biashara kwa mchezeshaji..., Hi ni kama Bar mlevi akinywa anafaidika kivingine kupoza koo (kwahio kama mtu anacheza kwa burudani ni sawa) ila sio kutajirikaingekuwa wanaobetisha wanapata hasara wangekuwa wameshafunga makampuni yao!.. biashara ukitumia akili itakuambia ukae upande gani na upande upi usikae!.
Umenichekesha SanaLeo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀.
Leo nimetegeshea sh 100 nitaweka kwenye kitufe cha autobet Na kitufe cha autocash, cha ajabu kile kindege kimepaa mpaka ikasoma 5000 lakini Kila nakubonyeza kwenye kitufe cha autocash pesa haitoki, lakini vitufe vingine vyote vinakubali, wa cheza kamari amkeni.
Game lipi hilo mshangazi?Njoo ucheze game langu.
Ni fair kabisa.
Unalipia unacheza!!
mkuu njoo pm unipe bei elekezi ya hiyo game nije leo leo kucheza!Njoo ucheze game langu.
Ni fair kabisa.
Unalipia unacheza!!
Mkuu embu nioneshe hata Salio la 5 million Ili niamini wewe umetajirika Kwa kutokubet na Mimi nikuoneshe Salio langu nililopata kwenye kubet ambapobwewe unasema ni mchezo wa kujifurahisha huku tunatumia pesaBetting sio Biashara kwa punter (mchezaji) ni biashara kwa mchezeshaji..., Hi ni kama Bar mlevi akinywa anafaidika kivingine kupoza koo (kwahio kama mtu anacheza kwa burudani ni sawa) ila sio kutajirika
Biashara ni nini ? Ukijua definition yake basi utafahamu kwamba betting sio Business kwa mchezaji..., Mathematically wewe mchezaji eventually utaliwa tu..., na hata ukipata leeway basi wachezeshaji wataiziba.., their whole business is built by having an edge towards the Punter...Mkuu embu nioneshe hata Salio la 5 million Ili niamini wewe umetajirika Kwa kutokubet na Mimi nikuoneshe Salio langu nililopata kwenye kubet ambapobwewe unasema ni mchezo wa kujifurahisha huku tunatumia pesa
Yes. Betting ni zaidi ya DECI mkuu.Biashara ni nini ? Ukijua definition yake basi utafahamu kwamba betting sio Business kwa mchezaji..., Mathematically wewe mchezaji eventually utaliwa tu..., na hata ukipata leeway basi wachezeshaji wataiziba.., their whole business is built by having an edge towards the Punter...
Kwahio hata kama leo hii una Bilioni moja uliyopata kwa betting basi hesabu inakwambia kwamba ukiendelea kubet hio pesa utawapa pamoja na faida...
Haiwezekani everything being equal wewe ukisindwa unipe mimi zaidi kuliko nachokupa wewe ukishinda (common sense itakwambia kwamba eventually mimi nitaibuka kidedea)
Nitajie biashara ambayo haina hasaraBiashara ni nini ? Ukijua definition yake basi utafahamu kwamba betting sio Business kwa mchezaji..., Mathematically wewe mchezaji eventually utaliwa tu..., na hata ukipata leeway basi wachezeshaji wataiziba.., their whole business is built by having an edge towards the Punter...
Kwahio hata kama leo hii una Bilioni moja uliyopata kwa betting basi hesabu inakwambia kwamba ukiendelea kubet hio pesa utawapa pamoja na faida...
Haiwezekani everything being equal wewe ukisindwa unipe mimi zaidi kuliko nachokupa wewe ukishinda (common sense itakwambia kwamba eventually mimi nitaibuka kidedea)
That was then.., hardwork pays...hamna hela inakuja kirahisi ,Tufanye kazi