Aviator ni utapeli, wacheza kamari shitukeni

That was then.., hardwork pays...

In todays world either being smart au janja janja za hapa na pale na utapeli that is if you equate payment with cash....; lakini kama una equate with feel good factor; basi kuna mwingine anakunywa pombe sio ili apate pesa bali apate ule mzuka...
Naomba biashara ambayo haina hasara mkuu
 
Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀.

Leo nimetegeshea sh 100 nitaweka kwenye kitufe cha autobet Na kitufe cha autocash, cha ajabu kile kindege kimepaa mpaka ikasoma 5000 lakini Kila nakubonyeza kwenye kitufe cha autocash pesa haitoki, lakini vitufe vingine vyote vinakubali, wa cheza kamari amkeni.
Ndo unagundua leo, poleeee!! 😇😇
 
Nitajie biashara ambayo haina hasara
Moja Betting sio Biashara even by just its definition
the action of gambling money on the outcome of a race, game, or other unpredictable event. i.e. "football pools and other forms of betting"

Kwahio hapo utaangalia odds za wewe kuweza kuweka pesa na kupata pesa (sasa mchezeshaji ana advatange / edge) kwahio kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuliwa according to probability....

Kwahio kama unafanya biashara ya kuuza Bangi ambayo 90 percent utashikwa na polisi (hio ni betting) kama unapanda mchicha huko jangwani ukitegemea mvua itanyesha wakati huwa ni sehemu kavu (hio ni betting) kama unalima shamba leo kwa kutegemea bei za mwaka jana wakati bei ni unpredictable (hio ni betting)..., Lakini ukiondoa zile unkown ukalima kwa kumwagilizia na masoko una contracts guaranteed kutoka kwenye mahoteli kwamba watanunua basi hapo wewe kuweka laki moja ili upate faida ya elfu 30 unapotoa mazao hio sio betting (ni known facts ambazo 9 out of 10 times) zitakwenda kama inavyopangwa....

Business; is the practice of making one's living or making money by producing or buying and selling products (such as goods and services). It is also "any activity or enterprise entered into for profit."
 
Boss, biashara zote zina faida na hasara.

Ila betting na kamari ina kula kuliwa kuliwa kuliwa kuliwa kula kuliwa kuliwa kuliwaaaaaa kuliwa kulaaa kuliwaaaaaaaaaa kula kula kula kuliwaaaaaaaa kula kula kula kuliwaaaaaaaaaaaaaaaaaa kula kuliwaaaaaa.
Sasa ndio unaongea nini ukijua kama Kuna kula lazima uliwe wewe unataka ule tuu usiliwe ushawahi kuona biashara Gani ya hivyo
 
Moja Betting sio Biashara even by just its definition
the action of gambling money on the outcome of a race, game, or other unpredictable event. i.e. "football pools and other forms of betting"

Kwahio hapo utaangalia odds za wewe kuweza kuweka pesa na kupata pesa (sasa mchezeshaji ana advatange / edge) kwahio kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuliwa according to probability....

Kwahio kama unafanya biashara ya kuuza Bangi ambayo 90 percent utashikwa na polisi (hio ni betting) kama unapanda mchicha huko jangwani ukitegemea mvua itanyesha wakati huwa ni sehemu kavu (hio ni betting) kama unalima shamba leo kwa kutegemea bei za mwaka jana wakati bei ni unpredictable (hio ni betting)..., Lakini ukiondoa zile unkown ukalima kwa kumwagilizia na masoko una contracts guaranteed kutoka kwenye mahoteli kwamba watanunua basi hapo wewe kuweka laki moja ili upate faida ya elfu 30 unapotoa mazao hio sio betting (ni known facts ambazo 9 out of 10 times) zitakwenda kama inavyopangwa....

Business; is the practice of making one's living or making money by producing or buying and selling products (such as goods and services). It is also "any activity or enterprise entered into for profit."
Betting kwangu ni biashara labda kwako sio biashara Sababu nawekeza pesa nyingi kama umeishindwa ni wewe Kila mtu na upepo wake kwenye biashara mwenzio nimefaidika nayo sana
 
Nina uhakika I know betting kuliko hata wewe (sababu tu ya kauli yao) mkuu sio surebet, matched betting; Cross-Market Arbitrage, in play betting na so called value bets... All in all ni kwamba mathematically the punter has a raw deal..., na hata ukipata loophole leo itagundulika after some time na itazibwa..., na mwisho wa siku kama unacheza matched betting na kutumia opportunity ya bonuses the Bookie anaweza akakufungia wakati wowote na pesa zako kuwa freezed... Kwahio unless wewe unauza odds, ni bookmaker au unaandika vitabu kuhusu betting its not a sustainable venture nor is it a business in any sense of the word....
 
Mzee mbona unalazimisha mambo Mimi nimekuambia betting kwangu ni biashara na pesa nimepata kupitia betting yaani kiufupi betting ndio maisha yangu ukiona umeshindwa wewe ujue wenzio tunafaidika hiyo ndio biashara kiufupi huna upepo na betting usilete mahesabu Yako uchwara hapa sababu hujafaidika na betting nenda kajaribu kulima
 
Mzee mbona unalazimisha mambo Mimi nimekuambia betting kwangu ni biashara na pesa nimepata kupitia betting yaani kiufupi betting ndio maisha yangu ukiona umeshindwa wewe ujue wenzio tunafaidika hiyo ndio biashara kiufupi huna upepo na betting
I rest my case.... kwahio unakwenda kwa upepo ? Kuna watu walipiga sana pesa kwenye DECI je ilikuwa a viable business ? Vipi Karata Tatu na Bahati Nasibu, Mzuka n.k. nazo ni biashara....
usilete mahesabu Yako uchwara hapa sababu hujafaidika na betting nenda kajaribu kulima
Mahesabu yangu ? Sio yangu. hesabu sio subjective huwezi kusema 10 gawio 2 inaweza kuwa 8 Jibu will always be 5 na kwakutokujua kwako hesabu huenda ndio maana unafikra ulizonazo....
 
Kama unajiona maarufu na mtaalamu wa Betting (which mathematically you are bound to lose sooner rather than later) hebu kidogo cheki hii story..... 215 Egotistical Orangutans....

Back
Top Bottom