Nina uhakika I know betting kuliko hata wewe (sababu tu ya kauli yao) mkuu sio surebet, matched betting; Cross-Market Arbitrage, in play betting na so called value bets... All in all ni kwamba mathematically the punter has a raw deal..., na hata ukipata loophole leo itagundulika after some time na itazibwa..., na mwisho wa siku kama unacheza matched betting na kutumia opportunity ya bonuses the Bookie anaweza akakufungia wakati wowote na pesa zako kuwa freezed... Kwahio unless wewe unauza odds, ni bookmaker au unaandika vitabu kuhusu betting its not a sustainable venture nor is it a business in any sense of the word....