Moja una uhakika kwa percent gani na Kwa odds zipi ? Ukija kwenye odds ndio hapo utaona umepewa a raw deal sababu the bookies kulingana na probability ya Yanga kushinda atakupa odds ndogo kwahio that same game 9 out of 10 time ukishinda ile moja utakayoshindwa itakuwa imekula kwako.... Winning Jmosi haimaanishi utashinda same bet consistently....Nina uhakika nikiibetia yanga jumamos inashinda unasemaje
Nina uhakika sababu Nina ukaribu na uongozi na wachezaji swala la odds ata iwe 1.02 kwangu inafaida kubwaMoja una uhakika kwa percent gani na Kwa odds zipi ? Ukija kwenye odds ndio hapo utaona umepewa a raw deal sababu the bookies kulingana na probability ya Yanga kushinda atakupa odds ndogo kwahio that same game 9 out of 10 time ukishinda ile moja utakayoshindwa itakuwa imekula kwako.... Winning Jmosi haimaanishi utashinda same bet consistently....
Sasa mkuu kumbe hujui hata maana ya Betting..., kama ni match fixing hio sio betting tena sababu kunakuwa na inside knowledge hata hivyo na yenyewe sio 100 percent fixing a game hata ukifanikiwa kuna betting trends bookies wanaangalia sasa kama wewe ukiwa una bet pesa kubwa alafu unashinda 90 percent of the time (which is not normal) account yako itakuwa flagged na soon or later utashitukiwa....Nina uhakika sababu Nina ukaribu na uongozi na wachezaji swala la odds ata iwe 1.02 kwangu inafaida kubwa
Mkuu embu nioneshe hata Salio la 5 million Ili niamini wewe umetajirika Kwa kutokubet na Mimi nikuoneshe Salio langu nililopata kwenye kubet ambapobwewe unasema ni mchezo wa kujifurahisha huku tunatumia pesa
Mtu unakuwa na malengo ya kuachana na betting afu unakutana na comment kama hiiMkuu embu nioneshe hata Salio la 5 million Ili niamini wewe umetajirika Kwa kutokubet na Mimi nikuoneshe Salio langu nililopata kwenye kubet ambapobwewe unasema ni mchezo wa kujifurahisha huku tunatumia pesa
Hakuna kilichobora unajitafutia maradhi ya moyo tu na hizo betting zenuNi bora ubet tu,hizi nyingine ambazo comptuer inakaa katikati kuchakata matokeo huo ni utapeli,lakini wabongo wengi tumelala tatizo.
Embu endelea na mambo Yako tusipotezeane mda nimegundua wewe ndio wale wazee wa kustake hero huna Cha kuniambia betting imekushindaSasa mkuu kumbe hujui hata maana ya Betting..., kama ni match fixing hio sio betting tena sababu kunakuwa na inside knowledge hata hivyo na yenyewe sio 100 percent fixing a game hata ukifanikiwa kuna betting trends bookies wanaangalia sasa kama wewe ukiwa una bet pesa kubwa alafu unashinda 90 percent of the time (which is not normal) account yako itakuwa flagged na soon or later utashitukiwa....
Pili unaoonglea odds za timu kushinda kupewa 1.02 ? Yaani hata Brazil wakicheza na timu ya watoto wa mtaani hio sio bet ya kuchukua... Yaani beti ya kurisk 1m ili upate faida ya elfu 20 na hapo serikali haijachukua 15 percent tax on winning itakuwa ni ulimbukeni....
Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀.
Leo nimetegeshea sh 100 nitaweka kwenye kitufe cha autobet Na kitufe cha autocash, cha ajabu kile kindege kimepaa mpaka ikasoma 5000 lakini Kila nakubonyeza kwenye kitufe cha autocash pesa haitoki, lakini vitufe vingine vyote vinakubali, wa cheza kamari amkeni.
MmmmhNjoo ucheze game langu.
Ni fair kabisa.
Unalipia unacheza!!
Je ni value for money ?Njoo ucheze game langu.
Ni fair kabisa.
Unalipia unacheza!!