joyce123 Member Joined Mar 4, 2021 Posts 10 Reaction score 10 Feb 7, 2023 #1 Habar Wana jf, hivi nan anajua mchezo wa kasino wa aviator maana umenifilisi sana na nashindwa kuacha, msaada jinsi ya kuacha now nimekuw addicted
Habar Wana jf, hivi nan anajua mchezo wa kasino wa aviator maana umenifilisi sana na nashindwa kuacha, msaada jinsi ya kuacha now nimekuw addicted
jabulani2017 Member Joined Mar 19, 2017 Posts 79 Reaction score 296 Feb 7, 2023 #2 Kama ni SPORTYBET..Ingia kwemye settings weka disable account..Yangu nimeifungia kwa miaka sita maana niliona nitakuwa maskini chap..Unaweza kuuacha nina wiki 3 sasa sijaugusa maana siwezk kulog in
Kama ni SPORTYBET..Ingia kwemye settings weka disable account..Yangu nimeifungia kwa miaka sita maana niliona nitakuwa maskini chap..Unaweza kuuacha nina wiki 3 sasa sijaugusa maana siwezk kulog in
joyce123 Member Joined Mar 4, 2021 Posts 10 Reaction score 10 Feb 7, 2023 Thread starter #3 Ni meridian na primier mkuu