AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

Joined
Jul 21, 2013
Posts
6
Reaction score
2
Nawasalimu Nyote

Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba kufunguliwa mfumo waingize matokeo yangu sasa ni wiki ya tatu inaenda ya nne nikipiga simu chuoni wananiambia NACTE wamewaambia wasubiri...

Naona niko ukingoni dirisha la kujisajili na Bachelor Degree ndo linaelekea kufungwa naombeni kama kuna mtu ameshawahi kuface challenge kama hii anisaidie ufumbuzi plz🙏
 
Sasa AVN ndo mavi gani? Eti una degree na hujui unavyoviandika! Rubbish!
 
Pole sana mpendwa nami pia nina changamoto ambayo ni kwenye upande wa majina Cheti cha Secondary herufi ya kati (initial) haina nukta halafu Cheti cha Diploma herufi ya kati (initial) ina nukta. Nilihangaika na kwenda Chuo nilichosoma ndio wakanieleza hiyo shida hapo juu, wakaandika barua kueleza changamoto iliyopo na kufuatilia NACTE.
 
Back
Top Bottom