AVN inanisumbua, nifanyaje?

AVN inanisumbua, nifanyaje?

bright pledge 255

Senior Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
140
Reaction score
172
Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO

Screenshot (190).png
mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
Screenshot (189).png
 
Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO

View attachment 2324472 mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni niniView attachment 2324473
mbona simple unaandika registrationa namba ipi usije weka ya iyo diploma apo unaweka namba ya form four na unaanza na N mfan NS0000/0000/2023

hlf uzi wa mwaka 2022
 
Back
Top Bottom