bright pledge 255 Senior Member Joined Aug 15, 2022 Posts 140 Reaction score 172 Aug 15, 2022 #1 Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
one wisow JF-Expert Member Joined Sep 9, 2019 Posts 1,303 Reaction score 1,901 Aug 30, 2023 #2 Nenda nacte
BOFREE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 1,048 Reaction score 1,424 Aug 30, 2023 #3 bright pledge 255 said: Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO View attachment 2324472 mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni niniView attachment 2324473 Click to expand... mbona simple unaandika registrationa namba ipi usije weka ya iyo diploma apo unaweka namba ya form four na unaanza na N mfan NS0000/0000/2023 hlf uzi wa mwaka 2022
bright pledge 255 said: Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO View attachment 2324472 mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni niniView attachment 2324473 Click to expand... mbona simple unaandika registrationa namba ipi usije weka ya iyo diploma apo unaweka namba ya form four na unaanza na N mfan NS0000/0000/2023 hlf uzi wa mwaka 2022