khmbrzy
Member
- Sep 8, 2021
- 8
- 5
Habari nduguzangu,
Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na nikitaka ku reset inasema niweke number ya simu ya zamani ambayo kwa sasa siitumii, yaani sina kabisa hiyo namba ilipotea na aliyenisajiria hayupo.
Je, nauliza kuna uwezekano wa mimi kupata msaada wa ku recover account yangu ili niweze kupata AVN?
Na je njia gani nitumie ili kusaidiwa?