vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
Hass Avocado Farming is on a high drive in Kenya... na bado wakulima wanaendelea kupanda miti hii..
Kwa saa hii tumeipita South Africa kwa kuzalisha Avocado.
Huu ni ukulima ambao hata mimi mwenyewe nimeingilia...
wakulima wengi kutoka eneo la Mt Kenya miaka 15 iliyopita walipanda miti hii kwa wingi sana...
Serikali za county pia zimekuwa zikipatia wakulima mbegu bila malipo yeyote
Kampuni kama Kakuzi , Olivado na nyingine zina farming contracts na over 10,000 farmers kulima Hass AVocado for export..
Kwa saa hii exports za fresh Avocados ni 10% only... lakini tunaendelea kutafuta soko nchi za Middle East na East Asia..
Lakini WaNa Bongo wengine hapa wanadai Avocado inatoka Tanzania ... 😀 😀 😀 ...
Yani CCM na viongozi wake wanawalisha propaganda kama hizo????
Jionee mwenyewe..
Kenya is one of the fastest growing producers...
Africa tunaongoza...Tanzania hata haimo kwenye big producers wa Avocado Afrika Pekee
How our factory in Kenya thrives on sustainable practices