Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

weka picha asiyo na make up
 
Sifa mojawapo ya mwanamke mrembo shart awe mrefu! avril namkubali sanaa ila urefu unamwangusha,
 
uzuri wa mwanamke ni pale hana make up na haja jishebedua


 
uishi milele avril hata mm nakuhusudu ipasavyo
 
Mbona Shilole mzuri kuliko huyo mwanamke,sema labda kwa Wakenya bongo atakimbizwa sana!
 
Avril mtoto jaman acheni maskhara..huyu mashallah .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…