PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lol sikuwahi kujua Kama ana komwe refu hivi Kama tunda la ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lol sikuwahi kujua Kama ana komwe refu hivi Kama tunda la ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Haka ni kachotara flani hivi..Ohooo!!!huyo ni mwarabu?
na Yemi hamfikii ChidnmaHamfikii hata Yemi Alade
weka picha asiyo na make upWakuu,
Kama inavyojieleza hapo juu, nimefanya uchunguzi na kupekua kweli kila mwanamuziki wa kike ukanda wa Afrika mashariki na kubaini uwepo wa mwanadada kutoka Kenya mwenye mvuto wa aina yake kiasi cha kuwafunika waimbaji wenzake wote wa nchi za Afrika Mashariki.
Mwanadada huyo aliyejaliwa kila anachopaswa kuwa nacho mtoto wa kike sio mwingine bali ni Judith nyambura A.K.A Avril, huyu mwanadada hana mpinzani kabisa kwa ukanda aliopo.
NOTE: Haya sio maono yangu, huu ndio ukweli mnaotakiwa muukubadi wote iwe kwa lazima au kwa kuamua na kama utanipinga basi uje na huyo unayeamini anamfikia Avril hata kwa kulazimisha!
Nitaweka na picha pia.
View attachment 472587 View attachment 472588 View attachment 472589 View attachment 472589
View attachment 472591 View attachment 472590
Evelyn Salt nishushe kwanza apo apo.Huyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610
uishi milele avril hata mm nakuhusudu ipasavyoWakuu,
Kama inavyojieleza hapo juu, nimefanya uchunguzi na kupekua kweli kila mwanamuziki wa kike ukanda wa Afrika mashariki na kubaini uwepo wa mwanadada kutoka Kenya mwenye mvuto wa aina yake kiasi cha kuwafunika waimbaji wenzake wote wa nchi za Afrika Mashariki.
Mwanadada huyo aliyejaliwa kila anachopaswa kuwa nacho mtoto wa kike sio mwingine bali ni Judith nyambura A.K.A Avril, huyu mwanadada hana mpinzani kabisa kwa ukanda aliopo.
NOTE: Haya sio maono yangu, huu ndio ukweli mnaotakiwa muukubadi wote iwe kwa lazima au kwa kuamua na kama utanipinga basi uje na huyo unayeamini anamfikia Avril hata kwa kulazimisha!
Nitaweka na picha pia.
View attachment 472587 View attachment 472588 View attachment 472589 View attachment 472589
View attachment 472591 View attachment 472590
ha ha ha ah BabaritaHanishindi mimi
Kapiga sana apo kaka kama huna tarifa....mpk dogo akaomba atokee kwny video ya kesho chezea sukari ya warembo wwOhoooo!!!bro chidu nasikia aliunyemerea msambwanda akapigwa za mbavu na bidada
Ha ha haaaa...ha ha ha ah Babarita
Acha kabisa.Avril mtoto jaman acheni maskhara..huyu mashallah .
Bado ni mzuri na anawakalisha wanamuziki wote wa kike ukanda huuLol sikuwahi kujua Kama ana komwe refu hivi Kama tunda la ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]