Obamaeli Rutajecha
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 230
- 274
- Thread starter
-
- #61
Punguza utani mkuu.kwa Malaika hagusi hata robo
View attachment 472666 View attachment 472665 View attachment 472664 View attachment 472663
Kila nyanja, umbo zuri, sura nzuri yani sio wa mchezomvuto wa kwenye YALE MAMBO YETU AU...
Hapana mkuu, nimezunguka Afrika Mashariki hakuna kama AvrilMkuu una ugwadu tu.... Hamna kitu hapo
Hebu acha kufananisha Avril na vitu vya ajabu mkuu, kuwa serious kidogo.Huyo amna kitu amfikii hata Shilole.
Labda ungesema mzuri Kwa Kenya....Huku bongo mpaka Jokate anaimba
Sio maono yangu bali ndio ukweli wenyeweTuletee mwenye haya maono ili tumpinge yeye.
Sio maono yangu bali ndio ukweli wenyewe
yuko vizuri mara 100 zaidi mkuuPunguza utani mkuu.
Huyo ndio unamfananisha na Avril?
Mkuu,huyo hana mvutoyuko vizuri mara 100 zaidi mkuu
Uzee unamnyemelea huyuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa huo upaa Mmmh wakati wa ku do inabidi umfunike kichwa usimuone upaa unaweza hisi dume
Hivi izi emoj mnazipata wp[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hizo wrinckles za kawaida sana hata wewe yenyua paji la uso upige picha uone au mwambie mwanaoUzee unamnyemelea huyuu
Wewe umeamua kumkejeli kemikali sasaHamptaki chemical_tz
Umeua aseeHuyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610