Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Nasikia huyu demu anapenda kuzama chumvini kwa wadada wenzie pia.
 
Huyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610


Komwe kama la Baba J kachorwa na Kipanya, hivi huyo akiwa mzuri Malaika wa nawararua rarua tutamwitaje?
 
Hizo ni picha mbili tofauti,, huwezi kunidanganya,
Nenda kwenye page yake Instagram
Au Google tu Avril watu wengine wabishi khaaaaa
Hiyo picha aliipost mwenyewe anatafuta dawa ya kutibu ngozi yake, ndo ujue make up na editing zinasaidia mnooo
 
Back
Top Bottom