YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Hmmmm... nilivoona tu picha yake iyo ya kwanza moyo ukanilipuka paaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu huo mzigo umepigwa na watu sio mtu tuDiamond kasha piga sana huo mzingo
Wacha waongee mengi, lakin hafikii msambanda wako, mm ngoja nipende vya nyumbaniHuyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610
[emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] asantee MkuuUlikuwa unamshikia miguu?
Sijamuumbua nimesema ukweli kwa kile ninachokiona mie na pia nimesema ni mzuri kiasi chakeMmh wanawake mna chuki sasa kumuumbua huko vepe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sio edit hiyo picha aliipost mwenyewe insta anatafuta dawa ya hizo pimples.....Evelyn Salt nishushe kwanza apo apo.
WIF hiyo picha ingine nayo ni mtu kaiedit ?
Ni mzuri ila sio Africa mashariki aseekumbe yupo hivi ? wanaume wengine huvumilia mengi unatongoza kingine unakuta ndani kingine
😀😀😀Lol sikuwahi kujua Kama ana komwe refu hivi Kama tunda la ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kaka stereoHamptaki chemical_tz
Huyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610
Hata kwa wema sepetu tu naona wema mzuri ukiacha maujinga ujinga yake ila she is beautifullyKomwe kama la Baba J kachorwa na Kipanya, hivi huyo akiwa mzuri Malaika wa nawararua rarua tutamwitaje?
Hizo ni picha mbili tofauti,, huwezi kunidanganya,Mmh wanawake mna chuki sasa kumuumbua huko vepe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nenda kwenye page yake InstagramHizo ni picha mbili tofauti,, huwezi kunidanganya,
NimeichekiNenda kwenye page yake Instagram
Au Google tu Avril watu wengine wabishi khaaaaa
Hiyo picha aliipost mwenyewe anatafuta dawa ya kutibu ngozi yake, ndo ujue make up na editing zinasaidia mnooo
Kenya tuNi mzuri ila sio Africa mashariki asee
Hapo sawa tehKenya tu
Ohoooo!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Nasikia huyu demu anapenda kuzama chumvini kwa wadada wenzie pia.
Sasa huyo malaika ni mzuri lakini sio kwa kumlinganisha na Avril,acha kumdhalilisha AvrilKomwe kama la Baba J kachorwa na Kipanya, hivi huyo akiwa mzuri Malaika wa nawararua rarua tutamwitaje?