Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Avril; Mwanamuziki wa kike mwenye mvuto Afrika Mashariki

Huo msambwanda anamzidi lily genie?
body zao zinatofautiana.
genie ana mhips mrefu/ tako analo kwahiyo imemletea shape ya aina yake ambayo haina mvuto kiviile..
avril ana body, ana hips ambavyo vimekaa standard vinavutia labda ajiharibu sasa hivi...
vera sidika ni mpana halafu ana butt....kama puto.

kwahiyo nahisi avril shape yake iko on point tofauti na genie
 
Mwanamke mzuri husimama akiwa mzuri bila make up wala minywele ya mikia ya farasi. Observe the beauty of a woman akiwa katika uasilia wake siyo kapaka mazagazaga usoni, kavaa minywele fake, konyoa nyusi na kujichora na penseli, kavaa hereni mng'aro, kapaka rangi ya mdomo n.k. kwa make up hizo hata nyani atavutia tu
 
huyu dada ana msambwanda ,ndio uzuri alio nao wa hatari...
maana body yake lazima ugeuke ,nilimuona sana coce studio nia shida.

sura kama lily genie wa kawaida
Description tuachue sisi,usijesingiziwa lgbt.
 
Huyu dada akirudisha nywele nyuma ukaona kikomwe utahisi sio yeye...... Hiyo hair style kumbe huwa anaficha kitu, ni mzuri kiasi chake make up na editing zinasaidia wanawake wengi
View attachment 472610
Lol sikuwahi kujua Kama ana komwe refu hivi Kama tunda la ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom