Kwa hiyo kila akipata mimba anatoa?
Mwambie aombe msamaha kwa Mungu maana itakuja siku hata hataona mimba ikitinga ataangaika na kuishi bila kuzaa.
Kuondoa malaika wa Mungu kimchezo sio vizuri.
Wengi wanajuta mbeleni maishani. Na inaelekea hapendi hata kutumia mpira kujikinga amezoea kuua tu anaona raha.