H Harun Magosho Member Joined Nov 14, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Feb 24, 2012 #21 Duh??? hii kali ya mwaka......
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,712 Feb 24, 2012 #22 hahaha una miaka mingapi??? nahisi biology ulipata mwanaasha hehehe
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,625 Feb 24, 2012 #23 Kwa hiyo kila akipata mimba anatoa? Mwambie aombe msamaha kwa Mungu maana itakuja siku hata hataona mimba ikitinga ataangaika na kuishi bila kuzaa. Kuondoa malaika wa Mungu kimchezo sio vizuri. Wengi wanajuta mbeleni maishani. Na inaelekea hapendi hata kutumia mpira kujikinga amezoea kuua tu anaona raha.
Kwa hiyo kila akipata mimba anatoa? Mwambie aombe msamaha kwa Mungu maana itakuja siku hata hataona mimba ikitinga ataangaika na kuishi bila kuzaa. Kuondoa malaika wa Mungu kimchezo sio vizuri. Wengi wanajuta mbeleni maishani. Na inaelekea hapendi hata kutumia mpira kujikinga amezoea kuua tu anaona raha.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Feb 24, 2012 #24 Bigbro said: Hizi bangi hizi!!! Click to expand... Tena kitu cha iringa hiko!