ogm12000
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 304
- 86
- Thread starter
- #21
Kama Jamiiforums mazungumzo ni haya,nadhani hapanifai. Mm,kweli kazi.Wa uozo huu na wa EPA,wana tofauti gani?
We vipi? umeingia part ya jokes/utani/ unaanza kuleta story za uozo....Kama mtu anafanya tusiweke?...Au stress zako nini? Kama hapafai achia ngazi hujalazimishwa kuingia. AL-Batat...