G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Na huo ndiyo ukweli. Chadema ya sasa imechanganya Chadema sanaa na Chadema wazalendo. Hizi Chadema zilikuwa pamoja.
Mbowe ambaye ni kiongozi wa Chadema sanaa ametengana na Lissu ambaye ni kiongozi wa Chadema wazalendo. Hawa watu walikuwa pamoja na sisi wafuasi wa kila mmoja tulikuwa pamoja.
Sasa tumetengana na katu hatutavuka pamoja. Ni lazima kundi mojawapo livuke huo ndiyo ukweli. Sasa wajumbe watakaoamua ndiyo walio wengi kundini. Kazi kwenu.
Lakini niwape tahadhari wajumbe. Huku nje mashabiki wa Chadema sanaa ni CCM. Hawa wanashabikia hii Chadema sanaa kwa maslahi mapana ya mambo yao humo ndani ya CCM. Wananchi wote wasio na vyama na wale mashabiki wa Chadema wasio na kadi wanashabikia Chadema wazalendo. Hawa ni mashabiki ambao wana maslahi ya kutaka kuendelea kuona uhai imara wa Chadema kwa ustawi wa nchi kidemokrasia na kiutawala. Narudia tena kazi kwenu kwa mtakayemridhisha enyi wajumbe.