Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Umetumwa na Mabeberu ?Wakati macho na msikio yetu yapo kwenye korona, hebu tuendelee mdogomdogo kujikumbushia ripoti ya Ufiadi wa seikali ya CCM kama ilivyowasilishwa na CAG bungeni na nukuu kutoka kwa Zitto Kabwe.
"Kila Mwaka CAG hukagua mizigo inayokwenda nje ya nchi kupitia bandari zetu, kujiridhisha endapo imevuka mipaka ya nchi au la. Katika Mwaka wa Fedha 2018/19 CAG ameonyesha kuwa Bidhaa zenye thamani ya Kodi ya Shilingi Bilioni 312 ziliingizwa nchini kama transit lakini hazikutoka nje ya mipaka yetu.
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano inaingia madarakani mwaka 2015/16 kodi iliyokwepwa kwa transit goods ilikuwa Shilingi Bilioni 42. Mwaka 2017/18 upotevu huu wa Kodi ulifikia Shilingi Bilioni 108. Ongezeko la ukwepaji kodi kupitia njia hii umekua kwa 742%!."
TUNATEKETEZA
Maana kila anaeisema kweli katumwaUmetumwa na Mabeberu ?
Ikiwa zaidi ya hapo inakuwa imevuka mipaka maana yake walipanga kukwepa kodi kwa aslimia 100 Sasa wamefikisha hizo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ume sahau ka nukta kwenye izo number.au ume maanisha maana kule primary nili fundishwa asilimia mwisho 100%
Ume sahau ka nukta kwenye izo number.au ume maanisha maana kule primary nili fundishwa asilimia mwisho 100%
Hujaelewa vizuri kuhusu asilimia, kila kitu kizima kina asilimia mia moja kwa hiyo kikiongezeka kwa mfano mara tatu ni sawa na asilimia mia tatu. Mtoa mada yuko sawa.Ume sahau ka nukta kwenye izo number.au ume maanisha maana kule primary nili fundishwa asilimia mwisho 100%
Unazo sifa zote za kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya/Mkoa ndani ya awamu hii ya tano. Watu kama wewe ni lulu sana huko Lumumba.Ume sahau ka nukta kwenye izo number.au ume maanisha maana kule primary nili fundishwa asilimia mwisho 100%