Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
- Thread starter
- #21
KUANZIA NDUGAI HADI MEKO WAKO BIZE NA CHADEMA
Kaa kimya kuficha aibu yako, asilimia hata 10000 zipo....Ingia google tafuta inflation ya Zimbabwe ilifikia asilimia ngapi!Ume sahau ka nukta kwenye izo number.au ume maanisha maana kule primary nili fundishwa asilimia mwisho 100%
Umekariri. Kasome ngumbaru. Happy Ana maana ukwepaji uko mara mia7 kuliko wakati mwingine.Ume sahau ka nukta kwenye izo number.au ume maanisha maana kule primary nili fundishwa asilimia mwisho 100%
miaka mitano anakimbizana na CHADEMA
Wakati macho na msikio yetu yapo kwenye korona, hebu tuendelee mdogomdogo kujikumbushia ripoti ya Ufiadi wa seikali ya CCM kama ilivyowasilishwa na CAG bungeni na nukuu kutoka kwa Zitto Kabwe.
"Kila Mwaka CAG hukagua mizigo inayokwenda nje ya nchi kupitia bandari zetu, kujiridhisha endapo imevuka mipaka ya nchi au la. Katika Mwaka wa Fedha 2018/19 CAG ameonyesha kuwa Bidhaa zenye thamani ya Kodi ya Shilingi Bilioni 312 ziliingizwa nchini kama transit lakini hazikutoka nje ya mipaka yetu.
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano inaingia madarakani mwaka 2015/16 kodi iliyokwepwa kwa transit goods ilikuwa Shilingi Bilioni 42. Mwaka 2017/18 upotevu huu wa Kodi ulifikia Shilingi Bilioni 108. Ongezeko la ukwepaji kodi kupitia njia hii umekua kwa 742%!."
TUNATEKETEZA
Subiri tujenge viwanda kwanza ndo ulete hoja hizo