Awamu hii ukwepaji kodi bandarini umekua kwa asilimia 742

Akasahau tulichomtuma sisi waajiri wake,badala ya kujenga viwanda wananunua midege,badala ya kusimamia serikali wao wanatengeneza migogoro,badala ya kuleta umoja na mshikamano wao wanahakikisha tunatengana,badala ya kupambana na rushwa pamoja na kuanzisha mahakama ya ufisadi wao wanahakikisha CDM wanashinda mahakamani kwa kesi za uchochezi.
miaka mitano anakimbizana na CHADEMA
 
Shida yetu sisi elimu ya ujamaa ndio imetufikisha hapo tulipo hapa na hayo ni matokeo tu nadhani kuna upigaji mwingi kuzidi huu wa report ya cag ikiwamo na midege
 
Matumizi ya nguvu bila akili, si ajabu teuzi za wanajeshi kuwa heads wa kila taasisi, sijui koroshow haikutufundisha kitu.
 

CAG Kawaumbua wamenyamaza kimya kama wamemwagiwa maji ya baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…