Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Una hojaHuyo Hersi kaingia Yanga ikiwa imetulia yani hela zipo n.k anapewa bajeti haumizi kichwa...mpeni kwanza timu ya Gwambina akifuzu huko ndo mje na proposal yenu...
Huyu Madam Barbara arudi Simba tena awe Rais mmoja, mambo ya rais kwa upande wanachama na rais kwa upande wa mfadhili watoe upumbavu huu.Kumuweka Eng Hersi kwenye uongozi wa juu wa soka siyo tatizo ila ulipaswa kueleza hapa kwanini awekwe yeye na si mtu mwingine.
Kwanini isiwe Sunday Kayuni, Salum Madadi au hata Madam Barbara, hiyo hasa kutokana na uzoefu walionao kwa soka la Tanzania na Afrika.
Eng Hersi ana maarifa au uzoefu gani kwenye mpira wa ndani au nje ya Tanzania?
Hawa washirikina watolewe wote