Awamu ijayo TFF kwa maslahi ya nchi aongoze Hersi

Huyo Hersi kaingia Yanga ikiwa imetulia yani hela zipo n.k anapewa bajeti haumizi kichwa...mpeni kwanza timu ya Gwambina akifuzu huko ndo mje na proposal yenu...
Una hoja
Huyu Madam Barbara arudi Simba tena awe Rais mmoja, mambo ya rais kwa upande wanachama na rais kwa upande wa mfadhili watoe upumbavu huu.

Hawa washirikina watolewe wote
 
Mafanikio ya soka yanapimwa kwa timu na wachezaji. Marefarii na makocha hatuna haja nao, maana watafight kwa ajili ya mafanikio yao binafsi. Hata Somalia isiyo na ligi ina marefarii wazuri
Mifumo ikilala juhudi binafsi hutumika
 
Naunga mkono hoja kati ya Hersi au yule mrembo wa MO mmoja wapo achukue uraisi pale TFF, hawa wazee hawana vision wala strategies za kulitoa soka letu matopeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…