Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia
Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi
Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha
Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru
Walipiga watu waliokuwa wakiwakosoa risasi bila kuogopa
Kulikuwa hakuna uchaguzi, watu wao waliowataka ndio hao hao wangekua wabunge, madiwani ama wenyeviti wa serikali za mitaa
Watu kutekwa na kupatikana mazingira ya kutatanisha huku hakuna mtekaji hata mmoja aliyegundulika
Kuvamia biashara za watu na kuchukua fedha kibabe kwa kisingizio kuwa wanakusanya kodi
Tanzania iliongozwa na kikundi cha majambazi kwa miaka 6