Awamu ya 5 ilikuwa ni genge la majambazi lililojiita wazalendo

Awamu ya 5 ilikuwa ni genge la majambazi lililojiita wazalendo

It's a fact jamaa wana namba na population yao inazidi kuwa kubwa.
Mungu awabariki kwa namba yao lakini busara na hekima vinawakosa wengi wao kuona kuwa wao ndiyo wenye uhalali wa kuishi Tanzania na uhalali wa kumiliki kila kitu na kila mtu.
 
Mungu awabariki kwa namba yao lakini busara na hekima vinawakosa wengi wao kuona kuwa wao ndiyo wenye uhalali wa kuishi Tanzania na uhalali wa kumiliki kila kitu na kila mtu.
Wasukuma wengi hawana hayo mambo tatizo lao kubwa wanakata miti ya asili kwa ajili ya kilimo na ngombe zao. Mambo ya siasa hawapo kihivyo, na ni jambo mnabidi mshukuru kwa nyie mnaowaogopa.
 
Binadamu ni wabinafsi sana na sio wazuri kabisa kijifunza kutokana na Historia.
Hii nchi na wasiwasi itapata Magufuli mwingine kama wasipoweka katiba mpya , mbaya zaidi wataumia zaidi CCM ya Kina JK na Sa100 kuliko vyama vya upinzani.
 
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia

Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi

Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha

Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru

Walipiga watu waliokuwa wakiwakosoa risasi bila kuogopa

Kulikuwa hakuna uchaguzi, watu wao waliowataka ndio hao hao wangekua wabunge, madiwani ama wenyeviti wa serikali za mitaa

Watu kutekwa na kupatikana mazingira ya kutatanisha huku hakuna mtekaji hata mmoja aliyegundulika

Kuvamia biashara za watu na kuchukua fedha kibabe kwa kisingizio kuwa wanakusanya kodi

Tanzania iliongozwa na kikundi cha majambazi kwa miaka 6

View attachment 2502203
Mtumbuuliwa kama wewe! Johnny Sack !

Mwizi kama wewe
Johnny Sack!

Cheti fake kama wewe
Johnny Sack

Huwezi kuipenda wala kutsema vizuri awamu ya Tano!

Sababu ndio iliyowaibua na kuwatoa nje ya mfumo,na mpaka sasa mnakula joto ya jiwe!

Magufuli legacy itaendelea kuwepo nchini kwa karne nyingi tu!

Usipotaka kuitambua,lakini utakutana nayo kwenye huduma za kila siku....

Kuanzia kwa Mfugale mpaka Tanzanite Bridge!

Kuanzia Kimara mpaka Magufuli Terminal!

Kutokea New Wami Bridge mpaka Moshi!

Kuanzia Dar es Salaam Mpaka Kigoma na Mwanza kwa SGR!

Kuanzia Bwawa la Umeme la JNHP (Stiegle's Gorge) Mpaka Majumbani kwenu wapika sumu vyeti fake!

Kuanzia ATCL na madege yake Mapya hafi Meli mpya ziwa Victoria!

Kuanzia Mwanza mpaka Rwanda na Congo DRC kupitia Daraja la Kigongo Busisi!

Kwa sasa endeleeni kupiga Zumari!
 
Hii nchi na wasiwasi itapata Magufuli mwingine kama wasipoweka katiba mpya , mbaya zaidi wataumia zaidi CCM ya Kina JK na Sa100 kuliko vyama vya upinzani.
Wasiwasi wako nimeuthibitisha. Na hakuna kitu huyo fisadi wala huyo mzanzibari wanaweza kufanya. Chuma kingine ni hakika
 
Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia

Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi

Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha

Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru

Walipiga watu waliokuwa wakiwakosoa risasi bila kuogopa

Kulikuwa hakuna uchaguzi, watu wao waliowataka ndio hao hao wangekua wabunge, madiwani ama wenyeviti wa serikali za mitaa

Watu kutekwa na kupatikana mazingira ya kutatanisha huku hakuna mtekaji hata mmoja aliyegundulika

Kuvamia biashara za watu na kuchukua fedha kibabe kwa kisingizio kuwa wanakusanya kodi

Tanzania iliongozwa na kikundi cha majambazi kwa miaka 6

View attachment 2502203

Hapa kazi tu. Kazi hiyo inaendelea.
 
Wasiwasi wako nimeuthibitisha. Na hakuna kitu huyo fisadi wala huyo mzanzibari wanaweza kufanya. Chuma kingine ni hakika
Hamna cha chuma wala jiwe wala utopolo wowote
Chuma hakifi kifo cha aibu, cha kuficha ficha ugonjwa kama mgonjwa wa ukimwi
 
Hiyo kawaida kwa tawala za kiafrika

Kila awamu kuwa na madudu yake

Ova
 
Back
Top Bottom