F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Feb 1, 2023 #41 Genge hilo lilikuwa linajiandaa kumpa mfalme wao urais wa vipindi viwili vya miaka saba saba kuanzia 2025 hadi 2039 Nchi hii ingekuwa zaidi ya Somalia - Mungu akawagomea dadeq.
Genge hilo lilikuwa linajiandaa kumpa mfalme wao urais wa vipindi viwili vya miaka saba saba kuanzia 2025 hadi 2039 Nchi hii ingekuwa zaidi ya Somalia - Mungu akawagomea dadeq.
Walnut Creek JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,830 Reaction score 6,315 Feb 2, 2023 #42 Johnny Sack said: Rais wa Tanzania anakuwa determined na Kamati Kuu ya CCM pamoja na wazee Sio wapiga kura ambao wengi wao ni mbumbumbu Kamati Kuu ya CCM ndio iliamua Magufuli awe rais, sio hao Wasukuma Click to expand... Kamati kuu CCM siyo Mungu na siyo wajinga.
Johnny Sack said: Rais wa Tanzania anakuwa determined na Kamati Kuu ya CCM pamoja na wazee Sio wapiga kura ambao wengi wao ni mbumbumbu Kamati Kuu ya CCM ndio iliamua Magufuli awe rais, sio hao Wasukuma Click to expand... Kamati kuu CCM siyo Mungu na siyo wajinga.