Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano
Hapo inabidi umlipie feesza chuo mwanao. Mtoto ambaye wazazi wake hawaonekani kuwa na uwezo mzuri kiuchumi wanapata mikopo. Mwanangu yupo chuo - anaona tofauti kati yao - mshahara wangu haujapanda for six years na ninatakiwa nilipe fees za wanangu wa chuo. Before kila mwaka mshahara ulikuwa ukipanda kidpgo ninapata space ya kufanya top-up mkopo benki maisha yanaendelea.
Kiukweli kabisaa Mkopo wa HESLB anapaswa akopeshwe mwanangu kwa sababu yeye ndiye atakuja kulipa inakuwaje vigezo vya kukopeshwa yeye vinawekwa kwangu ambaye sitakuja kumipia huo mkopo. HESLB ya ajabu sana. Wanangu walipofikisha miaka 18 wakatolewa kwenye bima ya afya ya NHIF - Ajabu ingine!
Uwalipie bando la NHIF, uwalipie fees wakati angalau hata mikopo ya tuition fees basi wangekopeshwa. Mwanangu mmoja ananiambia mimi ikitokea ninakuja kuwa Mtendaji Mkuu wa HESLB makato ya mikopo itakuwa ni 20% - ya mishahara yao kwani anajisikia uchungu sana wenzao wanaopata mikopo wanavyosoma bila mawazo.
Anafikiria na kuwaza sana baba pamoja na ajira yake serikalini inabidi aendeshe uber ili niweze kuwalipia wao fee simply kwa kuwa eti mimi ninafanya kazi serikalini kwa cheo cha afisa msaidizi mkuuu wao wamekosa mkopo. Nchi hii tumelazimishwa matabaka!
Hatukuwa hivi!