Awamu ya 5 na woga wa Katiba Mpya

Awamu ya 5 na woga wa Katiba Mpya

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka kabisa kuitekeleza kwa kuwa na visingizio kibao kutoka kwa Magufuli kama Rais na mama samia kama Makamu wa Rais.

Visingizio hivyo ni pamoja na kusema
[emoji117]Katiba Mpya sio kipaumbele
[emoji117]Kwanza tunajenga uchumi
Lakini pamoja na hayo yote uchumi tunaambiwa umeshuka.

Magufuli kafa kaja Rais Samia. Tulitarajia labda angekuja na wazo tofauti na Magufuli lakini kumbe ni wale wale eti kwanza ajenge uchumi na hata mikutano ya vyama nayo kazuia licha ya kuwa Ni kukiuka Katiba.

Swali kwanini awamu ya 5 inaogopa Katiba Mpya? Mbona awamu ya 4 ilithubutu?
 
Ndugu Yangu Wala Usijisumbue, Viongozi wako wanajua Mchezo Nzima...! Katiba Wala sio Kipaumbele chao...! Tawanyika ukaendelee na shughuli zako..!
 
Lazima Waambiwe hata Maandiko Matakatifu yanasema ila Wao Wakaze Shingo zao
 
Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka kabisa kuitekeleza kwa kuwa na visingizio kibao kutoka kwa Magufuli kama Rais na mama samia kama Makamu wa Rais.

Visingizio hivyo ni pamoja na kusema
[emoji117]Katiba Mpya sio kipaumbele
[emoji117]Kwanza tunajenga uchumi
Lakini pamoja na hayo yote uchumi tunaambiwa umeshuka.

Magufuli kafa kaja Rais Samia. Tulitarajia labda angekuja na wazo tofauti na Magufuli lakini kumbe ni wale wale eti kwanza ajenge uchumi na hata mikutano ya vyama nayo kazuia licha ya kuwa Ni kukiuka Katiba.

Swali kwanini awamu ya 5 inaogopa Katiba Mpya? Mbona awamu ya 4 ilithubutu?
Kwani wananchi wenyewe wanasemaje?
 
Huyu mkojani ni laini sana kumnyoa. Kama imewezekana kwa jiwe huyu watapita naye fasta sana. Mwache aendelee kukaza shingo.
 
Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka kabisa kuitekeleza kwa kuwa na visingizio kibao kutoka kwa Magufuli kama Rais na mama samia kama Makamu wa Rais.

Visingizio hivyo ni pamoja na kusema
[emoji117]Katiba Mpya sio kipaumbele
[emoji117]Kwanza tunajenga uchumi
Lakini pamoja na hayo yote uchumi tunaambiwa umeshuka.

Magufuli kafa kaja Rais Samia. Tulitarajia labda angekuja na wazo tofauti na Magufuli lakini kumbe ni wale wale eti kwanza ajenge uchumi na hata mikutano ya vyama nayo kazuia licha ya kuwa Ni kukiuka Katiba.

Swali kwanini awamu ya 5 inaogopa Katiba Mpya? Mbona awamu ya 4 ilithubutu?

Hata leo ikipigwa Kura ya wanainchi wanaotaka na wasiotaka katiba mpya I'm sure bila Shaka yoyote wasiotaka watashinda
 
Serikali isikilize madai/matakwa ya wananchi kama wanataka katiba mpya wapewe katiba mpya
 
Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka kabisa kuitekeleza kwa kuwa na visingizio kibao kutoka kwa Magufuli kama Rais na mama samia kama Makamu wa Rais.

Visingizio hivyo ni pamoja na kusema
[emoji117]Katiba Mpya sio kipaumbele
[emoji117]Kwanza tunajenga uchumi
Lakini pamoja na hayo yote uchumi tunaambiwa umeshuka.

Magufuli kafa kaja Rais Samia. Tulitarajia labda angekuja na wazo tofauti na Magufuli lakini kumbe ni wale wale eti kwanza ajenge uchumi na hata mikutano ya vyama nayo kazuia licha ya kuwa Ni kukiuka Katiba.

Swali kwanini awamu ya 5 inaogopa Katiba Mpya? Mbona awamu ya 4 ilithubutu?
Mama ameshapoteza mvuto tayari, amebugi vibaya afadhali aachie ngazi mapema.
 
Back
Top Bottom