Awamu ya kwanza haikumnyonga Bibi Titi Mohamed. Je, ya sita itamnyonga Tundu Lissu ikiwa atatiwa hatiani?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Naomba niulize wajuvi na wajuzi wa mambo ni kweli wanawake wana huruma sana kimaumbile sasa swali langu Nyerere hakumnyonga bibi Titi Mohamed; Je, awamu hii itamnyonga Tundu Lissu mkatoliki?

Tena hapa kuna mbadilishano wa dini na jinsia.
 
Bibi titi kosa lake lilikua ni lipi alitaka kua rais?
 
Naomba niulize wajuvi na wajuzi wa mambo ni kweli wanawake wana huruma sana kimaumbile Sasa swali langu Nyerere hakumnyonga bibi titi Mohamed je Samia atamnyonga Tundu Lissu? Tena hapa kuna mbadilishano wa dini na jinsia. Nyerere mkatoliki hakumnyonga mwanamke mwislamu je rais mwislamu wa kike atamnyonga Tundu lisu?

Moderators naomba msifute Uzi huu.
Hotuba ya Nelson Mandela yenye kichwa "Niko Tayari Kufa" ("I Am Prepared to Die")
 
Attachments

Kesi ya mchongo - kupotezeana muda na National resources.
 
Acha basi kusumbua watu ccm kwa ccm watanyongana vipi bwana?

Hapo hamna kesi ni maigizo tu kuwaraghai waTanzania wakati lissu yuko kazini hadi uchaguzi unaisha anaachiwa
 
Naomba niulize wajuvi na wajuzi wa mambo ni kweli wanawake wana huruma sana kimaumbile sasa swali langu Nyerere hakumnyonga bibi Titi Mohamed; Je, awamu hii itamnyonga Tundu Lissu mkatoliki?

Tena hapa kuna mbadilishano wa dini na jinsia.
Nyerere hakuwa MUUAJI.
 
kujibu hilo swali ningekuomba kwanza kama ukipenda jielimishe khs maana ya kafir na Kurani inasemaje kuhusu kafir, awamu ya kwanza ilikuwa ni Christian, hivyo usichanganye mambo, na yes wanaweza mnyonga kweli hao jamaa siyo kabisa ...
 
Sasa na wewe unaleta udini wako wa kifala
 
Acha basi kusumbua watu ccm kwa ccm watanyongana vipi bwana?

Hapo hamna kesi ni maigizo tu kuwaraghai waTanzania wakati lissu yuko kazini hadi uchaguzi unaisha anaachiwa
Vipi ameshaachiwa?
 
Naomba niulize wajuvi na wajuzi wa mambo ni kweli wanawake wana huruma sana kimaumbile sasa swali langu Nyerere hakumnyonga bibi Titi Mohamed; Je, awamu hii itamnyonga Tundu Lissu mkatoliki?

Tena hapa kuna mbadilishano wa dini na jinsia.
Mbona mmeanza panic? Mmeona upepo unageuka nini? Mlishaambiwa, who are you? Subirini kesi ifike mwisho ,kama hana hatia mbona ataachiwa huru tu bila kikwazo? ila sasa kama ana lake jambo,basi maamuzi ya awamu ya kwanza siyo lazima yafanane na ya awamu ya sita.
 
Mpare mpumbavu
 
Back
Top Bottom