Awamu ya pili hatihati kukosa mkopo!!!!

Habar zenu wanajamv,nimeongea na dada flani hv ambayo yuko fld anadai kwamba wanafunz wanaoapply second round ya tcu huwa wanakua katka risk kubwa ya kukosa mkopo.Inakaaje hii wadau? kuna ukwel wowote hapa??
Hapo HAMNA UKWELI WOWOTE!!,Upataji wako wa mkopo unategemea na loans criterias which are openly directed through HESLB,Hazina uhusiano na TCU,Kwa mfano umechagua mzigo wa civil UD,umetemwa mzigo huo huo ukiuchagua Ardhi hata round ya MIA unagongwa loan sawa na wenye sifa wenzanko wa course hiyo hiyo
 
Sio sadakalawe wala nini mi na two yangu MUHAS waniteme second round nitupie UDOM nikose mkopo,nani kasema ukiona umekosa ujue;1.una point za kubahatisha 2.Course uliyochagua haina manufaa SANA kwa taifa

Nina jamaa yangu Alikuwa na point 10 yupo SUA course ambayo mkopo ni priority na alikosa hapo hapo wapo wenye point 15 wamekula mkopo.so cjaona point yako
 
msijali sana, kwa watakao omba priority programs wataweza kupata, ila kweli Mungu ni wa Muhmu sana hapa, nakumbuka kwa walioomba loan mwaka 2011, 2nd round walikosa, ila nadhan kama program yako ni priority, ukifka chuo ukafuatilia utaweza kupata. Poleni.
 
According to tcu ni takriban wanafunz elfu nane na ushee wamekosa nafas awamu ya kwanza,iz it possible kwa kund hl lote likakosa kabsa???
hebu 2ambizane bac huo mwaka 2011 n wanafunz wangap walkosa mkopo!!? wanafkia idad hii!?!?!
 
Kuna watu watakuja hapa kujifanya wanajua kila kitu na kuwatisha wenzao, suala la mkopo halihusiani na selection za tcu unapewa kulingana na ulichojaza kwenye form yako na bodi wanazipitia form na kupanga madaraja ya mkopo bila majina ya tcu.
 
Ni kweli lakini majina ya tcu ni lazima ndugu yangu ili wajue umepangwa kozi ipi,ina ada kiasi gani na ni priority au non-priority.
 
Ni kweli lakini majina ya tcu ni lazima ndugu yangu ili wajue umepangwa kozi ipi,ina ada kiasi gani na ni priority au non-priority.

Tcu nao sio wehu watume majina nusunusu lazima mchakato ukamilike ndo wanatuma.
 
Tcu nao sio wehu watume majina nusunusu lazima mchakato ukamilike ndo wanatuma.

hv mkuu hii statement ina maana gani 'i understand that loan is not guaranteed to my selection above' hii statement nimeiona kwenye profile ya rafiki yangualipokuwa akifanya 2nd round application na lazima acomfirm hiyo statement.. Sa unasemaje kuhusu hapo
 
That means u can be offered the loans /not hii ni kwate rafik na ww ulicomfirm kitu hicho nin maana yakuomba nikupata au kukosa thts why unakuta kuna statiment kama ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…