Hapo HAMNA UKWELI WOWOTE!!,Upataji wako wa mkopo unategemea na loans criterias which are openly directed through HESLB,Hazina uhusiano na TCU,Kwa mfano umechagua mzigo wa civil UD,umetemwa mzigo huo huo ukiuchagua Ardhi hata round ya MIA unagongwa loan sawa na wenye sifa wenzanko wa course hiyo hiyoHabar zenu wanajamv,nimeongea na dada flani hv ambayo yuko fld anadai kwamba wanafunz wanaoapply second round ya tcu huwa wanakua katka risk kubwa ya kukosa mkopo.Inakaaje hii wadau? kuna ukwel wowote hapa??