MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Taarifa zinaeleza kuwa Awamu ya pili ya kuruhusu waliokwenye nyadhifa mbalimbali kuviacha vyama vyao itaanza hivi karibuni ambapo kwa wale watakaoingia katika ngwe hii ni wale wenye sifa za kufanya kazi serikalini/wanaoajirika na baadhi watateuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali nchini.
Lengo linaelezwa kuwa ni kuhakikisha viongozi wengi zaidi kutoka upinzani na hivyo kuwaondolea wanannchi Imani dhidi ya wapinzani.
Hata hivyo Juhudi hizi zinaelezwa kuwa na manufaa makubwa 2020 ambapo fedha kidogo Sana zitatumika kwenye uchaguzi kwani majimbo mengi yanaandaliwa kwa wagombea kupita bila kupingwa na wengine hawatakuwa na upinzani mkubwa Sana hivyo wabunge wa chama chetu hawatatumia nguvu nyingi katika kupiga kampeni.
Mazungumzo yanaendelea kufanikisha mradi huu mkubwa wa kisiasa nchini.