Tetesi: Awamu ya pili ya kuunga mkono juhudi

Ayaaa! Ngoja na mie nifanye mpango wa kuhamia upinzani ili chama chetu kije kuni buy back...😀😀😛😳
 
Uji
kuongozwa na mtemi mbowe inahitaji moyo sana wa uvumilivu na ni mzigo mzito kwa wapenda haki, wacha waende CCM wapate pumziko la faraja. demokrasia ni gharama lakini utemi ni gharama zaidi
Umejaliwa ujinga mtakatifu
 
Afadhali TAL alikataa kuvuta, imewaepushia wanaonunuliwa mengi!, Laiti kama wangefanikiwa kumvutisha TAL huo ndo ungekuwa mchezo wao kwa kila ambaye wangemuona anasumbuasumbua. Fedha sasa ni option B badala ya worst case scenario!
 
Uache ubunge uende kufanya kazi serikalini? Wakati kiinua mgongo cha mbunge peke yake ni mshahara wa mtumishi wa umma wa miaka 30 mizima!
Wanamlipa anachostahili na ajira wanampa kwani nani atawazuia ili hali hela ziko mikononi mwao?

Kama wameweza kupoteza haya mabilioni kurudia uchaguzi, nini kitawashibda?

Pia hii iinaweza kuwa ni mbinu ya kukwepa lawama za kupoteza fedha kwenye kurudia uchaguzi.

Kumbuka kuna mtu anadaiwa kuapa kuuangimiza upinzani.
 
Hapa kuna hoja nzito, unanunuliwa kwa ajili ya kupewa ajira mpya.

Lakini pia watawala wameacha kuangaika na kero za wananchi na wanaangaika na viongozi wa wananchi ili hakosekane was kuwasemea hao wananchi.

Naangali kauli ya jana ya mzee wetu ambaye kwa umri wake anaonekana kuanza utumishi enzi za Mwalimu lakini anaona ni sahihi kuutangazia umma kuwa mwisho wa kununua wabunge na madiwani kwa lengo la kuwasimamia wapate kurudi Tena Bungeni kwa cc umewadia na dirisha limefungwa na ukitaka kuja uje kusugua benchi.

Najiuliza zile Juhudi zilikuwa zinaungwa kwa lengo la kurejeshwa kwenye kiti tu au Juhudi zinapaswa kuwa endelevu?Tunaunga Juhudi za maendeleo au tunayaunga Juhudi matumbo yetu?
 
kuongozwa na mtemi mbowe inahitaji moyo sana wa uvumilivu na ni mzigo mzito kwa wapenda haki, wacha waende CCM wapate pumziko la faraja. demokrasia ni gharama lakini utemi ni gharama zaidi
Du! Nawe umechangia thread!!
 
Ujinga ni mzigo kabisa. Na mpo ambao mmeukubali mzigo huo
 
kuongozwa na mtemi mbowe inahitaji moyo sana wa uvumilivu na ni mzigo mzito kwa wapenda haki, wacha waende CCM wapate pumziko la faraja. demokrasia ni gharama lakini utemi ni gharama zaidi
Ni Mbowe tu ndo unamwazia as if hakuna vyama kingine vya upinzani, by the way vipi kichaa jiwe ama yeye hana tatizo
 
Mentality za viongozi wa nchi hii hata shetani anawashangaa
 
awamu hii rushwa ya madaraka ni kubwa sana. takukuru wamebaki tu kutumika na wakuu wa mikoa kubambikizia wapinzani kesi za kuumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…