Awamu ya sita iliiponda awamu ya tano kwa matukio ambayo yameongezeka zaidi awamu hii ya sita. Je, ni karma?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.

Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.

Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
 
"Sijawahi kuuua hata sisimizi" lakini watu waliojitambulisha kama polisi walisimamisha gari na kumchukua Mohamedi Kibao na kwenda kumuua na kumtupa Ununio,je sio katika awamu hii inayosema haijawahi kuua hata sisimizi!?
Inna lilah waina ilah rajuin...🙏
R.i.P Mzee kibo
 
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.

Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.

Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
CCM ni ileile. Hata ikija awamu ya saba itaponda awamu hii. Imekua kama mtaji vile kwa wanasiasa.
 
Ouvu wote uliotokea na unaoendelea kutokea ni mbegu iliyopandwa na awamu ya tano. Na awamu ya sita ni tawi la awamu ya tano.

Maana hatujawahi kuchagua, Wala kufanya mchakato wa uchaguzi wa, awamu ya sita.
 
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.

Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.

Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
Awamu ya sita ipi? Mbona utawala wote ni awamu ya tano!?
 
Mtekaji mkuu sasa hivi ni kikundi kinachomuunga mkono February kuwa rais na ili ionekane kizimkazi kafeli .

February in agent wa CIA Kama ilivyo kwa kagame na Mage kimambi .

Idara isipokuwa makini manyang'au watachukua nchi Tena Kama ilivyokuwa shamba la bibi kipindi Cha nyuma.

Narudia Tena kizimkazi hausiki na utekaji wowote unaoendelea!!!!
 
Kizimkazi anapewa fundisho tu,alisema Hayati sasa yanatokea kwake basi na ajiseme mwenyewe.
 
Mtekaji mkuu sasa hivi ni kikundi kinachomuunga mkono February kuwa rais na ili ionekane kizimkazi kafeli .

February in agent wa CIA Kama ilivyo kwa kagame na Mage kimambi .

Idara isipokuwa makini manyang'au watachukua nchi Tena Kama ilivyokuwa shamba la bibi kipindi Cha nyuma.

Narudia Tena kizimkazi hausiki na utekaji wowote unaoendelea!!!!
Duhhhh....
Tuhuma nzito sana hii kwa nchi na wahusika...🤔
 
Kunauwezekano waliotaka kumuua lisu walitumwa na huyu dereva wa sasa.maana baada ya kurithi usukani na mauaji yamekithiri kuliko hapo awali.
 
Mtekaji mkuu sasa hivi ni kikundi kinachomuunga mkono February kuwa rais na ili ionekane kizimkazi kafeli .

February in agent wa CIA Kama ilivyo kwa kagame na Mage kimambi .

Idara isipokuwa makini manyang'au watachukua nchi Tena Kama ilivyokuwa shamba la bibi kipindi Cha nyuma.

Narudia Tena kizimkazi hausiki na utekaji wowote unaoendelea!!!!
CIA wanahitaji nini Tanzania?
 
Ni kweli kuna matukio lakini ya awamu ya tano yalikuwa kiboko.

Imagine hata makazini tuliogopa kuongea masuala ya serikali.
Kazini kwako ndo mlikuwa hamuongei Na si Kwa wenzako, Mimi Na wenzangu mbona tulikuwa tunaongea Sana Sasa mpaka bosi mwenyewe anachizika?

Alafu fine, sahivi Kwa mujibu wako mnapoiongelea Na serikali Ni Nini umefaidika nacho tofauti Na hawamu Ile?
 
CIA wanahitaji nini Tanzania?
Wasome vizuri CIA sirikali zote unazozijua mpaka North Korea Malawi mpaka urusi lazima wawe na watu wao waliwapandikiza wakiwa bado wadogo kufanya kazi kwa manufaa ya Marekani iko hivyo dunia nzima
 
CIA wana vyanzo vingi vya taarifa na watu wengi zaidi ya hao wanaowakusanyia taarifa muhimu za nchi hata ambazo sio siri. Nenda kwenye website yao kuhusu nchi mbalimbali.
 
Back
Top Bottom