Awamu ya sita iliiponda awamu ya tano kwa matukio ambayo yameongezeka zaidi awamu hii ya sita. Je, ni karma?

Kazini kwako ndo mlikuwa hamuongei Na si Kwa wenzako, Mimi Na wenzangu mbona tulikuwa tunaongea Sana Sasa mpaka bosi mwenyewe anachizika?

Alafu fine, sahivi Kwa mujibu wako mnapoiongelea Na serikali Ni Nini umefaidika nacho tofauti Na hawamu Ile?
Tukiongea hasira zetu zinapungua ....
Ile awamu tulitawaliwa na nyonya damu haswaa. Ukipinga tu unanyakuliwa kama mwewe na hakuna atakayesema fyuu.
Leo hata kama kuna ubadhirifu watu walau wapo huru kuongea na information tunapata.
 
Wewe tu utakuwa Na hulka ya woga mkuu, Na kama Ni kunyakuliwa hata sahivi watu kibao washatwaliwa Tena ndani ya miaka 3 tu.

Kama kwenye familia yeny mko Salama basi we mshukuru Mungu lakini watanzania waliopotea, kupotezwa Na kuuwawa kimya kimya Ni wengi mno ..wengine wanatolewa kafara nyota zao wanachukua kutambukia mizimu Yao.

Tulia Na uone ya mwakani omba Mungu akupe Uzima ndo utajua ibilisi anaishi mtaa gani
 
I do believe in physical word....
Hao wengi kimya kimya hatuna ushahidi maana imefanywa gizani . Ambapo hata awamu iliyopita hatujui kimya kimya walikuwa wangapi.

Oya utawala wa jiwe ulikuwa balaa. Yaani kwa mara ya kwanza mkojani alishine balaa maana kwenye magari ya mkoani unaanza ubungo mpaka standing ya mkoani ni kuangalia akina mkojani tu.

Akaja kufunika kwenye uchaguzi yaani ile ilikuwa daylight robbery.
 
Back
Top Bottom