Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Na uwajibikaji ulikuwepo right...🤔Ni kweli kuna matukio lakini ya awamu ya tano yalikuwa kiboko.
Imagine hata makazini tuliogopa kuongea masuala ya serikali.
Jichanganye, sikutishi!...kuongea masuala ya .....
Inna lilah waina ilah rajuin...🙏"Sijawahi kuuua hata sisimizi" lakini watu waliojitambulisha kama polisi walisimamisha gari na kumchukua Mohamedi Kibao na kwenda kumuua na kumtupa Ununio,je sio katika awamu hii inayosema haijawahi kuua hata sisimizi!?
Mliogopa Kutokana Na Upuuzi wenu haya hamuogopi huko makazini kwenu kipi cha maana Kinafanyika?Ni kweli kuna matukio lakini ya awamu ya tano yalikuwa kiboko.
Imagine hata makazini tuliogopa kuongea masuala ya serikali.
CCM ni ileile. Hata ikija awamu ya saba itaponda awamu hii. Imekua kama mtaji vile kwa wanasiasa.Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.
Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.
Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
Awamu ya sita ipi? Mbona utawala wote ni awamu ya tano!?Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.
Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi.
Sasa je awamu ya sita haitendi haya yote?
Kizimkazi anapewa fundisho tu,alisema Hayati sasa yanatokea kwake basi na ajiseme mwenyewe.Mtekaji mkuu sasa hivi ni kikundi kinachomuunga mkono February kuwa rais na ili ionekane kizimkazi kafeli .
February in agent wa CIA Kama ilivyo kwa kagame na Mage kimambi .
Idara isipokuwa makini manyang'au watachukua nchi Tena Kama ilivyokuwa shamba la bibi kipindi Cha nyuma.
Narudia Tena kizimkazi hausiki na utekaji wowote unaoendelea!!!!
Duhhhh....Mtekaji mkuu sasa hivi ni kikundi kinachomuunga mkono February kuwa rais na ili ionekane kizimkazi kafeli .
February in agent wa CIA Kama ilivyo kwa kagame na Mage kimambi .
Idara isipokuwa makini manyang'au watachukua nchi Tena Kama ilivyokuwa shamba la bibi kipindi Cha nyuma.
Narudia Tena kizimkazi hausiki na utekaji wowote unaoendelea!!!!
DuhhhhhhKizimkazi anapewa fundisho tu,alisema Hayati sasa yanatokea kwake basi na ajiseme mwenyewe.
CIA wanahitaji nini Tanzania?Mtekaji mkuu sasa hivi ni kikundi kinachomuunga mkono February kuwa rais na ili ionekane kizimkazi kafeli .
February in agent wa CIA Kama ilivyo kwa kagame na Mage kimambi .
Idara isipokuwa makini manyang'au watachukua nchi Tena Kama ilivyokuwa shamba la bibi kipindi Cha nyuma.
Narudia Tena kizimkazi hausiki na utekaji wowote unaoendelea!!!!
Kazini kwako ndo mlikuwa hamuongei Na si Kwa wenzako, Mimi Na wenzangu mbona tulikuwa tunaongea Sana Sasa mpaka bosi mwenyewe anachizika?Ni kweli kuna matukio lakini ya awamu ya tano yalikuwa kiboko.
Imagine hata makazini tuliogopa kuongea masuala ya serikali.
Wasome vizuri CIA sirikali zote unazozijua mpaka North Korea Malawi mpaka urusi lazima wawe na watu wao waliwapandikiza wakiwa bado wadogo kufanya kazi kwa manufaa ya Marekani iko hivyo dunia nzimaCIA wanahitaji nini Tanzania?
CIA wana vyanzo vingi vya taarifa na watu wengi zaidi ya hao wanaowakusanyia taarifa muhimu za nchi hata ambazo sio siri. Nenda kwenye website yao kuhusu nchi mbalimbali.Wasome vizuri CIA sirikali zote unazozijua mpaka North Korea Malawi mpaka urusi lazima wawe na watu wao waliwapandikiza wakiwa bado wadogo kufanya kazi kwa manufaa ya Marekani iko hivyo dunia nzima