Wewe tu utakuwa Na hulka ya woga mkuu, Na kama Ni kunyakuliwa hata sahivi watu kibao washatwaliwa Tena ndani ya miaka 3 tu.
Kama kwenye familia yeny mko Salama basi we mshukuru Mungu lakini watanzania waliopotea, kupotezwa Na kuuwawa kimya kimya Ni wengi mno ..wengine wanatolewa kafara nyota zao wanachukua kutambukia mizimu Yao.
Tulia Na uone ya mwakani omba Mungu akupe Uzima ndo utajua ibilisi anaishi mtaa gani