The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Walafi tuHobby yetu watu wa pwani ni sherehe
Pwani kuna shida kubwa sana ya maono na vipaumbele..Walafi tu
Halaf awe wenye vipaumbele wanaishi polini wakípata hela uko kwao wanakimbilia pwaniPwani kuna shida kubwa sana ya maono na vipaumbele..
VipaumbeleHello.
Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha.
Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama.
Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
View attachment 3558234View attachment 3558235