Hello.
Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha.
Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama.
Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
Umekuja fashion ya kufuturisha
Wanaalikana matajiri tu
Yaani Rais anafutarisha labda Mawaziri tu na watu maarufu wakiwamo watu wa Imani zingine ambao hawafungi
Kuna watoto yatima,.wazee, na waliowahitaji hasa
Yaani anafuturisha wasio wahitaji
Dini inasemaje kuhusu kufuturisha wasio funga na...
Kila ukigeuka huku unakuta waislam wanafuturishwa. Na huku wanasema kesho watafututisha.
Ni kama mashindano fulani hivi au kuna maagizo kutoka ngazi za juu kila taasisi ifuturushe?
Nakuja kwa upande wa waislamu, mko happy kufuturishwa? Je nyinyi ni wahitaji? Kwa nini ufuturishwe?
Mbaya zaidi...
Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele.
Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
Wakristo kufuturisha waislamu badala ya wakristo wenzao mwezi huu wa kwaresma inafikirisha sana.
Mfano mama Janeth Magufuli aliandaa futari maalum kwa waislamu wanaoishi chato hali ya kuwa yeye ni mkristo na wakristo wenzake nao wapo kwenye mfungo kama waislamu.
Sasa je hii ni ishara tosha...
DC MBEGA AFUTURISHA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI YA KIJAMII WILAYA YA MBOZI
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amefuturisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali ya kijamii huku akitoa rai kwa wananchi kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja na kutenda matendo mema kama wanavyotenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.